Robyn Rihanna Fenty ndilo jina alilopewa na wazazi wake maarufu kama Rihanna,baada ya kisubiliwa kwa muda mrefu Ameamua kuweka wazi na kusema Video yake mpya WORK ambayo amefanya na drake ataiachia rasmi siku ya jumatatu FEB 22,kama kawaida yangu mimekusogezea Treiler ya video lakini pia waweza kudownload Audio ya WORK ukiwa unaisubiri Video hapo jumatatu Kaa karibu na TL,Usisahau kucoment then kushea na wana.
[youtube src="rCtpY3tyTHY"][/youtube]