NIMEKUWEKEA VIDEO JINSI YA KUTENGENEZA BETRI LA LAPTOP LILILOKUFA CHEKI VIDEO HAPA

Sungura17
0
Najua sahizi unawaza wapi unapata hela ya kununua Betri la laptop yako,Sasa sikia hebu hiyo hela yako itafutie matumizi mengine huna jamaa anakudai labda?kapunguze deni halafu swala la betri nisiilize mimi nachoenda kukupa sahizi au angalia video hapo chini.
[youtube src="sdQSObq5Xgs"][/youtube]

1.TOA BETRI KWENYE LAPTOP YAKO
Angalia kama betri lako linafunguka vipi ni lakuchomoa au ni la kufungua basi kama la kufungua fungua then lichomoe au waweza omba msaada kwa mtu wa karibu anayefahamu.
2.BETRI LAKO LIWEKE KWENYE MFUKO MGUMU
Chukua mfuko ambao unajua sio rahisi kuchanika au kulegea  na baridi kali ndipo utumbukize betri lako kisha funga vizuri.
3.WEKA BETRI KWENYE FRIZER KWA SAA 15
Weka betri kwenye friza ukiwa umefunga vizuri,liache likae kwa saa 15 yasizidi hayo.
4.TOA BETRI LAKO NA ULIACHE LIWE KWENYE HALI YA KAWAIDA 
Lifute kuondoa mvuke mvuke na uliache wazi hadi liwe kwenye hali ya kawaida ubaridi uishe kabisa
5.RUDISHA BETRI NA ULICHAJI HADI LIJAE
Rudisha betri kwenye laptop yako na ulichaji hadi lijae,iache ikiwa on hadi  chaji ishuke hadi asilimia 10.
6.RUDIA HATUA ZA HAPO JUU MARA TATU YAANI SIKU TATU HAKIKA UTAFURAHI.
Rudia hatua hizo 5 mara tatu na baada ya hapo utkumbuka kwanini nilikwambia hela zako ufanyie kitu kingine na sio kununua betri jipya...
USIACHE KUSHEA NA WANA NAO WATAMBUKE...
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!