IRINGA:POLISI WAMKAMATA OMBA OMBA ANAYETUMIA KISU ILI APEWE MSAADA
personSungura17
17:09
0
share
Wakati Raisi akisisitiza hapa kazi tu! Kijana mwenye umri wa miaka 18 aliyefahamika kwa jina Mohamed Iddy
ametiwa kwenye mikono ya polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa huwatishia
watu maisha kwa kuwakimbiza na kisu pale anaponyimwa msaada sababu
iliyopelekea raia wa mjini IRINGA kufikisha taarifa polisi ili aweze
kushughulikiwa na ndipo jamaa alipojikuta kwenye mikono ya wanaojua
zaidi yake...