Bidada kutokea kenya ambaye jina lake lilijulikana na wengi pale alipoiwakilisha kenya katika mashindano ya big brother afrika si mwingine ni Huddah the boss,Mbali na kufahamika kwa big brother lakin amekua akijishughulisha na maswala ya mitindo na ubunifu wa mavazi na hicho ndicho kinachomfanya azidi kuwa marufu hasa kwa vituko na skendo zake.
Kupitia ukurasa wake wa instagram alipost picha ambazo zinazo onesha gari aina ya Range ambalo amepewa na kampuni ya kutengeneza magari ya LAND ROVER akiwa kama balozi wa kampuni hiyo nchini kenya,mwana dada huyo alipost na kuandika maneno haya ikiwa ni kijembe kwa wanaopenda kuongea mabaya kuhusu yeye kwa kuwaambia yeye anatengeneza pesa nna haongei sana kwakua kuongea si gharama coz kila mtu anaweza,alipost hiki,
I'm a BRAND! 😉👊🏾 . I talk less Coz talk is cheap . Anyone can afford it 😂 . Actions only zone 👊🏾
Hongera bidada kwa mkataba mnono.