HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA KUTUMIA MDOMO NI HATARI

Sungura17
0
Vijana wengi walio kwenye mahusiano wamekua wakidiriki kufanya mambo wanayo yaona kwenye video za ngono kutoka magharibi bila kujua madhara ya vitendo hivo,Ukweli ni kwamba jambo lolote unaloliona kwenye video ya ngono hua washalifanyia tahadhari na kuna dawa huwa wanatumia ndipo hufanya hayo unayoyaona wanafanya.Imekua kawaida kwa Vijana wengi kutumia Mdomo kunyonya maungo ya Wanawake zao wakiamini katika ufundi zaidi.
Human papilloma Virus(HPV) ni ugonjwa maarufu sana nchini marekani na ukielezwa kuwa sababu ya kwanza ni kutumia mdomo kunyoya uke wa mwanamke,Takwimu nchni humo zinaonyesha kuwa ugonjwa huu umewaathiri zaidi ya watu milion 79 hadi sasa na milion 14 kila mwaka.
Ugonjwa huu ni hatari kwa jinsia zote hasa wanawake kutokana na maumbile yao,Unaweza kuupata toka kwa mwanaume ambaye ameambukizwa na mwanamke mwingine au mwanamke ambaye ameambukizwa na mwanaume mwingine.
Kwa muathirika anaweza usambaza kwa njia za kawaida hata kama ajamnyonya au kunyonywa.
Hivi sasa umeanza kuripotiwa barani afrika hivo yakupasa kuwa makini na kama unaweza chagua mpenzi mmoja unayeamini hana michepuko kwa mlio kwenye ndoa mbaki na ndoa zenu. 
kwa maelezo zaidi unaweza tembelea
BOFYA HAPA KWA MAELEZO ZAIDI
Tags

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!