Huenda ukawa ni wakati mbaya zaidi kwa kocha luis van gal pale anapojikuta wakali wa timu wanapata majeraha huku hali ya timu kwenye msimamo wa ligi bado haieleweki,Hapo jana Manchester united waliweka wazi kuwa goalkeeper Wa kuaminika na kutegemewa klabuni hapo asingeweza kucheza mchezo wa europa dhidi ya Midtjyllandna kwa majeraha aliyopata wakati akijiandaa dhidi ya mchezo huo.De gea ameungana na Wayne rooney na kufanya list ya majeruhi kufikia 14,Orodha hiyo inazidi kumchanganya kocha luis van gal na bechi lake nimekusogezea kipande cha video kinachomuonesha namna alivyopata majeruhi.
[youtube src="VCE_FeMtGQ8"][/youtube]
JE, ni kweli Man utd hata wakiwa wabovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Arsenal?Na je vipi kwa majeraha haya Arsenal wataweza kweli?