Pokea zangu salam,waangu mimi.Mwambie ameshakua,nahitaji kukuoa.Kwanza uwe na mume,utambe na uriinge.Nami niwe na mke,ili unichuunge.Mng'aro wa nuru yako kama mbaaalamwezi.Na uzuru wa macho yako,kamwe hauna machozi.
Hako ni kautamu tu ndani ya Lupela yake Ali
kiba,hivi sasa video ipo rasmi kwa kuitazama sasa unaweza kuitazama hapo chini,usisahau kushare na Friends waupate utamu huu.