Matokeo mechi kati ya Valencia na barcelona mchezo uliopigwa usiku wa kuamkia Alhamis ni kuwa mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1,Valencia walitangulia kupata gori kupitia Alvaro negredo Dakika ya 39',Mnamo dakika ya 84' Wilfrid Kaptoum ndiye aliyeisawazishia barcelona na kufanya mechi iishe sare ya 1-1,ushindi huo unaifanya FC barcelona kutiknga fainali ya kombe hilo ambayo itapigwa tarehe 25 mwezi wa tano,Usiache kuangalia video ipo hapo chini.
[youtube src="U66SuRbhknw"][/youtube]