Ikiwa ni wiki ya wanyama pori kuvamia miji mashuhuri nchini india na kujeruhi watu na kufany uharibifu mkubwa,Jumapili iliyopita alishuhudiwa Chui mwenye umri wa miaka 6 alivamia shule moja nchini humo na kushambulia watu watatu katika eneo hilo.
Tembo akiwa anatembea na kufanya uharibifu Mjini SIRIGURI |
Kwa sasa tunafanya tathimini ya uhabirifu uliofanywa lakini amefanya uharibifu mkubwa sana tunashukuru hakuna mtu aliyeripotiwa kufa,alisema kiongozi wa eneo hilo bwana,Anurag Srivastava
Kutokana na mtandao wa serikali nchini india ni kuwa kuna tembo zaidi ya 27000,lakini kuingana na ripoti iliyotolewa mwaka 2008 na taasisi ya Dunia ya wanyama pori ni kua kuna vifo kati ya 100 hadi 300 vinaripotiwa kila mwaka vinavyonbabishwa na Tembo nchini humo.
[youtube src="Pp47lQ7IgIU"][/youtube]
[gallery]
[img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgd094vXPf9FKWi3ZTcycXwnJRadEmfna0fUYk5FieGpNi6t-Ph1mn_F5qPvIUw8smcFp9ykQYhTluMBB6ammsHVWFHMJgJ_Xw2bourRbj1wh31aiqrRqjvFbWChKPiaDEJBB8maH6rgVY/s320/TEMBO+INDIA.jpg"][/img]
[img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8Vgx6Xtkziaq9MmtBsNqKifWfIAmMsN8iKrwFNu2b6hk5wzj29o1L1WeB2ppgYHtjqBTgjnQbnXK8IGx3q-SpQkT1UUKrpVkAIA7pxSJVhSCt3Mknp1MIh-ZvMqhiNAETfQDPHlIXRmg/s320/160210184207-06-wild-elephant-0210-exlarge-169.jpg"][/img]
[img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEio7ShCBa97dsiCWD3ZEwL1CM9COTcXo-0FQse207UNZB-skLsgDhtbLDzwKkDs3ViR2cxtYHxGF6ksnmQYgoeyylQwcurnQZZgw0tq1XtzayY4CpdR1pnRd7y_p-MvsUsSDD-ALGA-MZE/s320/160210184104-03-wild-elephant-0210-exlarge-169.jpg"][/img]
[img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4Zov0E89_9wLTWuckrwxGOhWhoOblDxUHvFnKq-Hllackr8-WcoHgf-F9QZv2vX2TgzbRdqmYn_ugVbEGrCj23YgWw2k6KyD4aL1EzwvFSDhFSuJTMoiiXHUGbnqSmnVAoEQc5y53Kx0/s320/160210184126-04-wild-elephant-0210-exlarge-169.jpg"][/img]
[/gallery]