Hivi karibuni raisi wa Zimbabwe Robert mugabe amejikuta akikumbwa na upinzani mkubwa kutokana na kuiongoza nchi hiyo kwa muda mrefu bia maendeleo yoyote huku asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wake hawana ajira na hali ya maisha ikizidi kuwa ngumu.
Aliyekuwa
makamu wa rais wa Zimbabwe Joice Mujuru amezindua chama kipya cha
upinzani kwa jina Zimbabwe People First, na atakitumia kumpinga rais wa
nchi hiyo Robert Mugabe kwenye uchaguzi.
Mujuru alikuwa makamu wa rais mwaka 2004 na kufutwa mwaka 2014
Mujuru alikuwa makamu wa rais mwaka 2004 na kufutwa mwaka 2014