NASIB ABDUL
Huenda ukawa unatamani jina hili umpatie mwanao,na hii yote ni kutokana na kariba ya aina yake aliyonayo kijana NASIB ABDUL A.K.A DIAMOND PLATNUMZ(SIMBA).Huenda Asubuhi ya tarehe 04/2/2016 ikawa ni siku ya kipekee kwa Diamond ambapo aliweka record ya aina yake kwa kusaini mkataba na kampuni ya vodacom katika campain yao ijulikanayo kama [tooltip url="https://www.vodacom.co.tz/ongea-deilee/" title="ONGEA DEILEE"]Ongea Deilee ni mpangilio mpya unaompa mteja wa Vodacom dakika za bure na SMS za bure kufurahia kila siku Jiunge sasa na ufurahie.[/tooltip] mkataba huo unasemekana kuwa ni mkataba wa thamani zaidi kuwahi kusainiwa na Mkali huyo wa "JE,UTANIPENDAGA. Mbali na kutokelezea akiwa na waubavu wake naye si mwingine ni "Zari the bosslady" Lakin pia alivutia sana kwa suti yake maridadi ambayo wengi hawakufahamu nani aliyeiandaa,jibu limepatikana baada ya mbunifu nguli wa mavazi hapa nchini ALLY REMTULLAH kushare picha ambazo ameonekana akimfanyia make up msanii huyo wakati wa utengenezaji wa matangazo ya promotion hiyo na bila shaka huenda ndiye Anayemvalisha msanii huyo kwa sasa.

THAMANI YA MKATABA:Kutokana na utafiti wetu kupitia watu wa karibu wa Diamond platnumz imebainika kuwa mkataba huo unathamani ya Takribani TSH.billion 1.3,kwakua chanzo hicho kilieleza Msanii huyo amesaini mkataba wa dollar 660,000 za kimarekani.
KWANINI MKATABA MNONO KIASI HIKI?,Swali ambalo jibu lake lipo wazi kwakua thamani ya msanii huyo imekua ikiongezeka kadri siku zinavyosogea,kuongezeka huko kunatokana na deals anazofanya lakini pia kukua kwa kazi zake ikiwa na maana kutanuka kwa soko la mziki wake huko kumefanya thamani yake katika shows na matamasha mbalimbali kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Lakini ukiachilia mbali na Thamani ya diamond pia uwepo na ushiriki wa watu kama MKEWE(ZARI),MAMA YAKE NA MWANAE(TIFFA) huko pia kumefanya thamani ya mkataba iwe kubwa kiasi hicho kwakua hawezi kumtumia zari au mama yake halafu watu hao wasipewe chochote ndio sababu pia Mkataba huo umefikia kiasi hicho cha pesa,Sisi kama TL tunampongeza kijana huyo kwa level aliyofikia na hayo yote ni matunda ya juhudi zake HONGERA DIAMOND. [gallery] [img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie7VkfO589fgEStnmfN7Cw5s1gSWzLws2rFGVY89YksC26FYoK7nVCoL4Oh03dob1MkCSRK1jjVV1YQJD1hyphenhyphenxJdSfv6OYr3CAHJRPohhUgiLRf3sN-2VxLg2EA9lKqFgPGestuPfJ637E/s320/12669516_10153344896596088_7417112731584121253_n.jpg"][/img] [img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijxoxJzjXgWzNPFVXAeFwk-DYVMZPv0GxzyxUXyNaB3l79XOHjB-MthnT2hy0Ab1sC_MV_qiOP42k_RsWKIfwXEYvu4N3MIPolFXXi7cH4T6DwGDIwoLjax9wQmipta35WiTwP3SMmlS8/s320/12688062_10153932508303792_6924246397848390972_n.png"][/img] [img src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkm9tzTv5Io9X0ENxo62Dy_toigFMvKOLnG-EOAYvT0p1ErI6f5ZW42VfexBwLyncRwOzsbFxPKRamhPj_wdTXlv3wkY4uJujANPxXk0PsWlR2afTiazNzmWdreOt-BbD3isyJ8UhgSvM/s320/1454580595_6117_b.jpg"][/img] [/gallery]