Mkulima mmoja huko shandong nchini china ambaye imeelezwa kuwa anamatatizo ya akili,ameshangaza wengi kwa ubunifu na sayansi ya aina yake kwa kuweza kujenga Ghorofa la tope ambalo limetumia mawe bila simenti wala nondo.Mchina huyo ambae alifahamika kwa jina la Hu guanzoh mwenye miaka 55,alieleza kuwa alijenga nyumba hiyo miaka kumi iliyopita ili aishi na kaka zake lakini hakutimiza nia yake kwakua ndugu zake hao walifariki kabla.
Jiulize nyumba hiyo isiyo na nondo wala zege imedumu miaka yote hiyo je mainjinia wetu leo wakijenga jengo kama hilo litadumu hivo?comment chini.
HU'GUANZOUH |