DOWNLOAD VIDEO MWALIM NYERERE AKIZUNGUMZIA UDINI KATIKA SIASA
personSungura17
20:09
share
Kutokana na maombi yenu wadau niwatumie video hii,
,sasa waweza kudownload kiurahisi kabisa hapo chini Hayati Mwalim Nyerere akihutubia kutochanganya dini na siasa jambo ambalo baadhi ya wanasiasa wanaendelea kulifanya katika kampeni zao.